Katika ziara hiyo alipata fursa ya
kuzindua kiwanda cha Asili Asilia Kanda hicho kinatengeneza bidhaa mbalimbali zitokanazo
na zao la ngozi ikiwa ni pamoja na sandals, mabegi ya akina mama na mikanda.
|
Mheshimiwa Waziri Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni baada ya kufika katika kiwanda cha Asili Asilia
|
Mhe. Dkt. Titus Kamani (Mb),
akikata utepe wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha Asili Asilia kinachomilikiwa na
Ndugu. Dedan Munis (mwenye kilemba cheusi) kulia mwa Mheshimiwa Waziri. |
|
|
Mhe. Dkt. Kamani akiangalia baadhi
ya bidhaa zinazozalishwa na kiwanda cha Asili Asilia baada ya kuzindua kiwanda
hicho.
|
|
Mhe. Dkt Kamani akiongea na Watumishi wa Kiwanda cha Asili Asilia baadhi wanaonekana Pichani
|
|
Waziri Kamani Akimkabidhi Cheti cha ........Mmoja wa Watumishi wa Kiwanda Hicho
|
|
Mheshimiwa Waziri Dkt. Titus Kamani wakwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kiwanda cha Asili Asilia |
|
Mheshimiwa Waziri Dkt. Titus Kamani akiongea na wafanyakazi wa kiwanda cha Asili Asilia |
|
Baadhi ya ngozi ambazo zipo tayari kwa ajili ya kutengeneza bidhaa zitokanazo na ngozi
|
|
Viatu vitokavyo na ngozi katika Kiwanda cha AsiliAsilia
|
|
Wafanyakazi wa kiwanda cha Asili Asilia wakitengeneza bidhaa zitokanazo na shanga
|
Mheshimiwa Waziri Dkt. Titus Kamani akioneshwa begi la ngozi lililotengenezwa na kiwanda cha (Woisso Original Products). |
|
|
Baadhi ya sehemu ya kushonea bidhaa za cha Asili Asilia katika kiwanda hicho |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni