Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bibi Anunciata Njombe akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua Mafunzo hayo. |
Afisa Mkuu Wakala wa Maabara ya Mifugo Tanzania Bibi Wende Maulaga akitoa mada juu ya utayarishaji bora wa vyakula vya mifugo. |
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini mtoa mada (hayupo pichani) |
Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Mohamed Bahari akikabidhi vyeti na vitendea kazi kwa wakaguzi wa vyakula vya mifugo na maeneo ya malisho. |
Baadhi ya viongozi wa Wizara na Wakaguzi wa maeneo ya malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo walioshiriki mafunzo ya awali katika Hotel ya Edema Mkoani Morogoro |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni