Nav bar

Ijumaa, 27 Machi 2015

SIKU YA PILI YA KUPITIA HOJA ZA WAVUVI WADOGOWADOGO WA FERRY DAR-ES-SALAAM BUNGENI DODOMA



Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budebaakiongea na Afisa Bunge wa Wizara MUV muda mfupi kabla ya kuingia kwenye kikao cha kukutana na Kamati ya Bunge ya Kilimo , Maji na Mifugo
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akisalimiana na Katibu wa Kamati ya Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam, Wavuvi hao waliwasilisha Hoja zao kwa Kamati ya Bunge na kuomba zipatiwe Majibu.
Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam

Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam 



Katika picha ni Katibu Mkuu wa Wizara akisalimiana na Wavuvi Wadogowadogo kutoka Ferry Dar-es-salaam akibadilishana nao mawazo kabla ya kuingia katika Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugo




Afisa wa Bunge kushoto na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe , pembeni ni Afisa Mawasiliano wa Wizara Bibi Judith Mhina na Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi
Afisa wa Bunge kushoto na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe ,akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi pembeni ni Afisa Mawasiliano wa Wizara Bibi Judith Mhina 
Aliyesimama ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza
Baadhi ya Maafisa wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na Wadau wa sekta ya Uvuvi kabla ya kuingia katika Kikao na Kamati ya Bunge ya Kilimo , Maji na Mifugo
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi akisalimiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi waliotokea Ferry Dar-es-salaam
Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi akisalimiana na M/Kiti wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi waliowasilisha Hoja zao kwa Kamati ya Bunge wanatokea Ferry Dar-es-salaam 
 Wadau wa Sekta ya Uvuvi, Wavuvi Wadogo wadogo  wametokea Ferry Dar-es-salaam


Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akiwa na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi  katika jengo la Bunge
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba kushoto, katikati Bw Emannuel Bulai Afisa Uvuvi Mkuu akiwa na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi  katika jengo la Bunge, wakibadilishana mawazo
Bw Emannuel Bulai Afisa Uvuvi Mkuu akiwa na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi  katika jengo la Bunge, wakibadilishana mawazo 
Mwenye begi ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi  pamoja na Bw Emannuel Bulai Afisa Uvuvi Mkuu katika jengo la Bunge, kabla ya kujibu Hoja za Kamati ya Kilimo, Maji na Mifugo.
Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Dkt Martin Ruheta, akisalimiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi 
Wadau wa Sekta ya Uvuvi wakiwa wamepumzika kabla ya kuingia katika kikao cha Kamati ya Kilimo , Maji na Mifugo
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi  kushoto akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali za Uvuvi Bw Baraka Mgulwi  pamoja na Bw Emannuel Bulai Afisa Uvuvi Mkuu katika jengo la Bunge, kabla ya kujibu Hoja za Kamati ya Kilimo, Maji na Mifugo.Add caption
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele akibadilishana Mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashd Hoza  katikati ni Afisa wa Bunge Bibi Anjeal Ungele  na Jovice Mkuchu Afisa Uvuvi
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Kaika Telele akibadilishana Mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashd Hoza  katikati ni Afisa wa Bunge Bibi Anjel Ungele  

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi kulia akifatilia nyaraka iliyokuwa inasomwa na Mkurugenzi Msaidizi Bw Baraka Mgulwi kushoto na Katikati ni Bibi Judith Mhina Afisa Mawasiliano wa Wizara.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi kulia akifatilia nyaraka iliyokuwa inasomwa na Mkurugenzi Msaidizi Bw Baraka Mgulwi kushoto na Katikati ni Bibi Judith Mhina Afisa Mawasiliano wa Wizara.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango, aliyetangulia Bibi Catherine Joseph  na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi walipokuwa anaingia katika jengo la Bunge tayari kuhudhuria kikao na Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugo
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu akisalimiana na Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe na Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bibi Catherine Joseph  mwenye koti jeusi  akiangalia

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando katikati na kulia Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe na wakwanza kushoto Bi Jovice Mkuchu Afisa Uvuvi  muda mfupi kabla ya kuingia kwenye kikao na Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugo
Mkurugenzi wa Uzalisahaji Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe  mwenye miwani

Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo Dkt Martin Ruheta akisikiliza hoja zinazotolewa wakati Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugoilipotoa Hoja na pembeni ni Kaimu Meneja Mkuu wa Ranchi za Taifa Bw Mafumu

Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugochini ya M/Kiti Mhe Peter Msolwa , ikifatilia Hoja zilizotolewa za Wavuvi Wadogowadogo wa Soko la Ferry Bungeni Dodoma 
Kamati ya Bunge ya Kilimo Maji na Mifugochini ya M/Kiti Mhe Peter Msolwa , ikifatilia Hoja zilizotolewa za Wavuvi Wadogowadogo wa Soko la Ferry Bungeni Dodoma  

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt Yohana Budeba akifatilia Jambo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu (DSFA) Wakati wa kuzifatilia Kero za Wavuvi Wadogowadogo Bungeni Dodoma
Afisa Uvuvi Mkuu Bw Emmanuel Bulai akifatilia Kero za Wavuvi Wadogowadogo Bungeni Dodoma

Mkurugenzi wa Idara ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi akifatilia jambo wakati wa kubadilishana mawazo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu 
Usishangae hii ni Tai ya Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Bw Hosea Mbilinyi yenye picha ya Samaki
Sekretariet ya Idara ya Maendeleo ya UvuviKushoto Bw Katunzi katikati Jovice Mkuchu na Kulia ni Bi Merincia


Mkurugenzi wa Manunuzi na Ugavi Bw Lugali wakati wa Kikao cha Bunge cha Kamati ya Kilimo Maji na Mifugo Dodoma
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Tabu Chando 
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisis ya Utafiti wa Uvuvi Dkt Shoko mwenye miwani
Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Uvuvi katika Bahari Kuu Bw Rashid Hoza