Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Januari, 2015

ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT KAMANI NYANDA ZA JUU KUSINI NA MAGHARIBI MWA TANZANIA

Picha
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe  Pembeni ni watendaji wa Wilaya ya Momba na wa Wizara   Waziri Kamani akitembelea eneo la Tunduma  ambapo Wilaya ya Mumba imekusudia kujenga soko la Mazao yatokanayo na Uvuvi ili kudhibiti Mapato yatokanayo na mazao hayo. Halmashauri ya Wilaya ya Momba imemtembeza Mhe Waziri Kamani katika Eneo wanalokusudia kujenga soko la mazao yatokanayo na uvuvi Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani (mwenye miwani)  akisaini kitabu cha wageni mara alipofika ofisini kwa Mkuu wa Wilaya ya  Momba Mhe  Watumishi wa Idara ya Uvuvi kituo cha Tunduma na Wafanyakazi wa Wilaya ya Momba wakimsikiliza Mhe Waziri mara alipopata fursa ya kuongea nao (hayipo pichani) Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. akimuonyesha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt  Titus Mlengeya Kamani, jiwe la Mpaka...