Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Desemba, 2014

WIZARA YAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA MFUGAJI WA KUKU MIEMBE SABA - KIBAHA NOVEMBA 2, 2014

Picha
Mfugaji wa kuku Bibi Fransisca Macha akitoa maelezo kwa Waaandishi wa Habari (wapo nje ya banda ) Kuwa ana kuku 2200 na Kuku wanazalisha trei 21 kwa siku, Ameeleza Changamoto kubwa ni Soko  Sehemu ya Kuku wa Mayai wanaofugwa na Bibi Fransisca Macha Shamba hilo lipo eneo la Miembe Saba Kibaha   Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mohammed Bahari (mwenye suti katikati) akiwa na mfugaji wa kuku Miembe Saba- Kibaha  Mama Fransisca Macha (mwenye mtoto), Afisa Mawasiliano Bibi Judith Mhina, Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko  Bibi Magreth Mkami, na kutoka kushoto ni Afisa Habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Fatma Salum na Dkt. Niwael Mtui Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti wa Magonjwa ya Mifugo na Usafirishaji wa Wanyama na Mazao yake. Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dkt. Mohammed Bahari (mwenye suti kushoto) akizungumza na waandishi wa habari  nyumbani kwa mfug...