VIFAA KWA AJILI YA KUKUSANYA TAKWIMU ZA MAZIWA VIKIWASILISHWA KATIKA SHULE YA MSINGI KITANGIRI KWA AJILI YA KUGAIWA WAFUGAJI WAKATI WAKIPATA MAFUNZO |
WAFUGAJI NA WATAAALAM KUTOKA WIZARANI NA VIJIJI WALIKUTANA KWA PAMOJA KATIKA KUTOA ELIMU YA UKUSANYAJI WA TAKWIMU ZA SEKTA YA MIFUGOKATIKA OFISI YA MIFUGO YA WILAYA YA NZEGA MKOA WA TABORA |
VIFAA VILIVYOANDALIWA KWA AJILI YA KUWEKEA MAZIWA AMBAYO YATATOA TAKWIMU SAHIHI YA UZALISHAJI MAZIWA VIJIJINI |
WAYUMISHI WA IDARA YA MIFUGO YA WILAYA YA NZEGA WAKIANGALIA VIFAA WALIVYOKABIDHIWA KWA AJILI YA KUHAKIKI NA IDADI YA WAFUGAJI WANAOSHIRIKI KWENYE UKUSANYAJI WA TAKWIMU HUSIKA |
WAFUGAJI WAKIPATA MAFUNZO YA UKUSANYAJI WA TAKWIMU KATIKA DARASA LILILOANDALIWA KATIKA KIJIJI CHA KITANGIRI NZEGA VIJIJINI |
WAFUGAJI WALIOSHIRIKI KWENYE MAFUNZO WAKIULIZA MASWALI KUTOKA KWA WATAALAM HAWAPO PICHANI |
MTAALAM ALIYEFIKA KATIKA BOMA LA MFUGAJI KWA AJILI YA KUKUSANYA TAKWIMU |
WATAALAM WA TAKWIMU KUTOKA WIZARANI WAKIULIZA MASWALI KWA MFUGAJI KABLA YA KUANZA ZOEZI LA KUKUSANYA TAKWIMU |
MFUGAJI AKIJARIBU KUJAZA DODOSO LILILOTOLEWA NA WATAALAM |
MIGUGO YA MFUGAJI HAPO JUU IKIWA KATIKA BOMA |
MTAALAM KUTOKA WIZARANI BW MRINDOKO AKIANGALIA MIFUGO YA MFUGAJI A |
UNYONYESHAJI WA NDAMA MOJA KWA MOJA KUTOKA KWA NGOMBE INAKUWA VIGUMU KUTAMBUA KAMA NDAMA AMESHIBA PIA KUJUA NGOMBE ANATOA MAZIWA KIASI GANI |
MFUGAJI AKIJAZA DODOSO LA WATAALAM WA TAKWIMU ZA MIFUGO |
KUKU WA ASILI NI BAADHI YA MIFUGO INAYOPATIKANA KARIBU KILA KAYA YA KIJIJI HAPA TANZANIA WATAALAM WALISHIRIKI KUKUSANYA NA TAKWIMU ZA KUKU |
KUKU ANYEONEKANA KATIKA PICHA ANA UWEZO WA KUTAGA MAYAI ISHIRINI |
BAADHI YA MAYAI YA KUKU HUYO AMBAPO MENGINE YAMEWEZA KUTUMIWA NA MFUGAJI KAMA CHAKULA KATIKA KUPATA LISHE BORA YA PROTINI |
NG'OMBE WAKIWA NDANI YA BOMA LAO |
MAAFISA MIFUGO WA KATA TARAFA NA VIJIJI WALIO WENGI HUPATIWA USAFIRI WA PIKIPIKI KWA AJILI YA KURAHISISHA KUTOA HUDUMA ZA MIFUGO PALE WAFUGAJI WANAPOHITAJI |
MGUGAJI MAMA ALIYESIMAMA PEMBENI AKISAIDIANA NA MUMEWE ALIYESHIKA KARATASI HAONEKANI KUJIBU MASWALI YANAYOULIZWA NA WATAALAM WA TAKWIMU ZA MIFUGO |
WATAALAM WAKIBADILISHANA MAWAZO NA WAFUGAJI |
HAYA NDIO MAISHA YA KILA SIKU YA NYUMBANI VIJIJINI |
MAMA WA KINYAMWEZI AMEPIGA MAGOTI AKIPOKEA KIJITABU CHA KUWEKEA KUMBUKUMBU ZAKE ZA TAKWIMU HUO NI UTAMADUNI WA KABILA LA KINYAMWEZI KUPIGA GOTI WAKATI WA KUONGEA NA MWANAMME YEYOTE |
MFUGAJI AKIJIBU KWA MAKINI MASWALI YALIYOKUWA YANAULIZWA NA WATAALAM WA MIFUGO WA TAKWIMU |
KATIKA BOMA HILI WALIKUTA KIFO CHA NG'OMBE MWENYE DAMU YA FRISIAN AMEKUFA NA ANATOA DAMU MDOMONI NA MASIKIONI |
MTAALAM ALIVAA SOKSI ZA MIKONO ILI KUCHUKUA SAMPULI ZA KUPELEKA MAABARA, SOKSI HUZUIA KUSHIKA MOJA KWA MOJA MWILI WA NG'OMBE HUYO KWA KUWA ANAWEZA KUWA NA UGONJWA WA KUAMBUKIZA BINADAMU |
Add caption |
HIKI NI KICHAKA KINATUMIKA KAMA NYUMBA YA KUKU AMBAYO HAIZUII WANYAMA WA PORINI KUWAKAMATA KUKU HASA NYAKATI ZA USIKU |
MFUGAJI WA MIAKA IJAYO JE TUNAMUANDAAJE |
MFUGAJI WA MIAKA IJAYO MSOMI |
MSOMI AKIANGALIA TAKWIMU ZA MIFUGO YA FAMILIA YAO AKIWA NA MTAALAM WA MIFUGO WA KUKUSANYA TAKWIMU |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni