wakiwa katika mazungumzo hayo |
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek amtembelea Waziri wa MUV ofisini kwake. |
Wakiwa katika mazungumzo juu ya maeneo hayo hususani katika sekta ya maziwa, kuku wa kisasa na kienyeji pamoja na mafunzo kwa wataalamu na wafugaji katika sekta ya mifugo. |
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwa na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek |
Waziri na baadhi ya Viongozi wa Wizara wakiwa katika picha ya pamoja na akimuaga Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania |
Waziri na daadhi ya viongozi wa Wizara wakimuaga Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek baada ya mazungumzo mafupi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni