BAADHI YA BOTI NA NGALAWA ZA WAVUVI KATIKA UFUKWE WA FUMBAZANZIBAR BAHARI YA HINDI |
MWENYEKITI WA WAVUVI KIJIJI CHA NUNWI ZANZIBAR BW CHEUPE YUSUF AKITOA UFAFANUZI KWA MWANDISHI WA HABARI BIBI CEALINE JOJO |
BAADHI YA SAMAKI WALIOLETA KWENYE SOKO LA MNADA WA SAMAKI NUNGWI ZANZIBAR |
AINA MBALIMBALI ZA SAMAKI KATIKA SOKO LA MNANDA LA NUNGWI |
BAADHI YA WAVUVI WAKITOKA KUVUIA SAMAKI NA KULETA KATIKA SOKO LA MNADA ;LA NUNGWI |
AINA MBALIMBALI ZA SAMAKI ZINAZONADIWA KATIKA SOKO LA NUNGWI |
MWANDISHI NA MPIGA PICHA WA TBC 1 BW NICHOLOUS MMBAGA AKIWA NA MWANDISHI WA HABARI WA ZBC |
NAIBU MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU BW RASHID HOZA AKIPATA CHAKULA CHA MCHANA KATIKA KANTINI YA MAMLAKA HIYO |
MGAVI WA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU BIBI UANJO |
WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BAHARI KUU WAKIWA OFISINI KWAO |
SAMAKI AINA YA .CHUCHUNGE ALIYEVULIWA KATIKA BAHARI YA HINDI NA KUNADIWA KATIKA SOKO LA MNADA WA SAMAKI NUNGWI |
AINA MBALIMBALI ZA SAMAKI WANAOPATIKANA SOKO LA NUNGWI |
MNADA WA NUNGWI UNA WACHUUZI MBALIMBALI AMBAO HUNADI SAMAKI WAO NA KUJIPOPATIA KIPATO CHA UHAKIKA |
BIBI ZUENA MAHFUDHI MMOJA WA WAKINAMAMA WANAOKWENDA PWANI KWA AJILI YA KUTAFUTA RIZIKI ZITOKANAZO NA VIUMBE KWENYE MAJI |
BIBI ZUENA MAHFUDHI AKIFANYA MAHOJIANO NA AFISA MAWASILIANO WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AMBAYE HAYUPO PICHANI |
HIZI NI BIDHAA ZINAZOTAFUTWA NA KINAMAMA KATIKA UFUKWE WA BAHARI MAJI YANAPOKUPWA KWA AJILI YA KITOWEO |
BIDHAA HII YA BAHARINI NA MAAFURU KATIKA UFUKWE WA FUMBA KWA AJILI YA BIASHARA KWA KINAMAMA AMBAO HUMUDU KUENDESHA MAISHA YA YA KILA SIKU |
BAADHI YA KINA MAMA WA FUMBA ZANZIBAR WAKITOKA PWANI KUTAFUTA AINA MBALIMBALI ZA VIUMBE KWENYE MAJI AMBAVYO HUVITUMIA KWA KUFANYA BIASHARA NA CHAKULA KWA FAMILIA ZAO |
AFISA UTUMISHI WA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU BIBI ZUHURA |
BIBI MARIA NKOMOLA NI MKAGUZI NA AFISA UVUVI MWANDAMIZI ALIYEPO KATIKA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU FUMBA ZANZIBAR |
AFISA UVUVI MWANDAMIZI BW ..............AMBAYE YUPO MAKAO MAKUU YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU |
AFISA UGAVI WA MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU BI UANJO AKIONGEA NA MWANDISHI WA HABARI BIBI CEALINE NJOJO |
AFISA UVUVI MWANDAMIZI BW KAWISHE WA KWANZA KULIA AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWANDISI WA HABARI BI CEALINE JOJO NA AFISA UVUVI KUSHOTO |
BIBI SEMENI RASHID AKIWA KATIKA SHUGHULI ZA KIKAZI MAMALAKA YA USIMAMIZI WA UVUVI KATIKA BAHARI KUU |
BIBI ZUWENA AKIWA NA WENZAKE MARA BAADA YA KUTOKA PWANI YA FUMBA KUTAFUTA VIUMBE KWENYE MAJI AMBAVYO HUUZA NA ZIADA KUFANYA KITOWEO KWA KUKIDHI MAISHA YAO YA KILA SIKU |
USISHANGAE KUONA MSURURU WA KINAMAMA WAKITOKEA PWANI WAKO KATIKA SHUGHULI NA NDOO KICHWANI HIZO NI KKAZI ZA KILA SIKU KAMA WAFANYA BIASHARA |
AMINI USIAMINI WAKINA MAMA HAWA WANAPIGA MAKASIA KATIKA KUTAFUTA RIZIKI ITOKANAYO NA VIUMBE KWENYE MAJI KAMA WANAVYOONEKANA KATIKA PICHA |
HONGERA KWA MAMA HUYUI ATOKAE PWANI NA BONGE LA SAMAKI |
BAADHI YA BIDHAA WANAZOOKOTA PWANI NI KAMA INAVYOONEKANA KATIKA NDOO |
KINACHOONEKANA KATIKA PICHA NI BAHARI JONGOO AMBAPO KWA SHERIA ZA TANZANIA BARA SHERIA HAIRUHUSU KUWAVUA ILA SHERIA YA TANZAIA ZANZIBAR INARUHUSU |
BIDHAA ZINAZITAFUTWA NA KUUZWA SANA NA KINA MAMA |
MWANDISHI WA HABARI WA TBC 1 BW NICHOLAUS MBAGA |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni