Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2014

WMUV YANDAA MIAKA HAMSINI YA MUUNGANO WAHUSIKA WAKUU MAMLAKA YA UVUVI WA BAHARI KUU. MAKAO MAKUU YAPO FUMBA ZANZIBAR - MAADHIMISHO NA SHEREHE ITAPAMBWA NA KURUSHA VIPINDI VYA REDIO NA TELEVISHENI TAREHE 13/04/2014 USIKOSE KUSHUHUDIA KUSIKILIZA NA KUONA NINI HASA KINAFANYWA NA MAMLAKA YA UVUVI WA BAHARI KUU

WIZARA YA MAEDNELEO YA MIFUGO NA UVUVI YAFANYA PRESS CONFERENCE KATIKA VISIWA VYA BONGOYO 21/03/2014 KM CHACHE KUTOKA UFUKWE WA BAHARI YA HINDI SLIPWAY DAR-ES-SALAAM

MKUTANO WA WADAU SEKTA YA MIFUGO TAREHE 08/03/2014 KATIKA UKUMBI WA VETA DODOMA

Picha
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya  Mifugo na Uvuvi Dkt Charles Nyamrunda ,akimkaribisha Waziri Mhe. Dkt Titus Mlengeya Kamani,kulia kwa waziri ni  Naibu Waziri Ole Telele na pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kilimo, Maji na Mifugo Mhe Said Mkuwba   Baadhi ya Wajumbe waliohudhuria Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo katika Ukumbi wa VETA  Dodoma Wadau wa Sekta ya Mifugo wakifatilia kwa karibu yale yanayosemwa na Mhe. Waziri hayupo pichani  Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Mifugo na Masoko Bibi Anuciata Njombe akijibu baadhi ya hoja za Wadau  MC na Mkurugenzi Msaidizi Bw Mwita  akitoa maelezo wakati wa Kikao cha Wadau wa Sekta ya Mifugo kilichofanyika katika Hoteli ya VETA  DODOMA Bw Conrad Ndoma Afisa Mazingira katika Idara ya Uzalishaji wa Mifugo na Masoko ambaye ni Sekretarieti ya Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Mifugo   Khatibu Muhtasi Bi, ................... akiwa katika sh...

MKUTANO WA WADAU SEKTA YA UVUVI TAREHE 07/03/2014 KATIKA UKUMBI WA VETA DODOMA

Picha
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe Dkt Titus Mlengeya Kamani akiongea na Wadau wa Sekta ya Uvuvi wakati wa Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya VETA Dodoma Pembeni mwa Waziri ni Kaimu Mkurugenzi  Bibi Valeria Mushi  Muwakilishi wa Benki ya NMB alitoa Mada ya upatikanaji wa Mikopo kwa Wadau wa Sekta ya Uvuvi Mwakilishi wa Benki ya Twiga BANCOCK ambaye naye aliwakilisha ni jinsi gani Benki yake inaweza kusaidiana na Wadau wa Sekta ya Uvuvi Bw .................... Muwakilishi wa Benki ya CRDB BW .................ambaye alitoa tamko la kufungua milango wazi kwa Wadau wa Sekta ya Uvuvi  Muwakilishi wa Wadau wa Sekta ya Uvuvi kutoka Mkoa wa Tanga  BW Mohamed ambaye anatokea eneo la Deep Sea Tanga Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Uvuvi Bibi Valeria Mushi akiwa na Mjumbe na Secretariet ya Kikao cha Wadau ambaye pia ni Mkurugenzi Msaidizi upande wa Maji Baridi BW Kajitanus Osewe...