Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David, akihutubia wananchi na wafanyakazi wa Ranchi ya Kongwa wakati wa Uzinduzi wa Duka la Kisasa la kuuza nyama
|
Waziri
wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB)
akiangalia ghala la kuhifadhia malisho ya mifugo Ranchi ya Kongwa
|
|
Waziri
wa Mendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) akiwa
katika picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Ranchi za Taifa
(NARCO) |
|