TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imepanga kuajiri maafisa walioorodheshwa hapa chini katika mwaka 2011/12 hivyo tunapenda kuwatangazia Watanzania wote wenye sifa zilizoainishwa watume barua za maombi ya kazi zifuatazo: 2. Daktari Mifugo Mkufunzi Daraja la II (Veterinary Tutor II) (Nafasi 5) (a) Sifa za waombaji Wawe wamehitimu Shahada ya kwanza ya Sayansi ya tiba ya Mifugo kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali waliosajiliwa na Bodi ya Madaktari wa Mifugo Tanzania (b) Majukumu - ...