Katibu Mkuu Wizara ya
Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe
akiwasili na kupokelewa na Maafisa wa Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi –
Tanzania (NDC) kwa ajili ya kutoa Mhadhara kuhusu" Livestock and Fisheries
Sector's Development in Tanzania"kwa Washiriki wa Kozi ya Kumi na Mbili
jana tarehe 12 Disemba 2023.
Katibu Mkuu Wizara ya
Mifugo na Uvuvi, Prof. Riziki Shemdoe akisaini kitabu cha Wageni mara tu baada
ya kuwasili katika Ukumbi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) Jana tarehe 12 Disemba2023 jijini Dar es salaam.