Nav bar

Jumatano, 16 Novemba 2022

DKT. MSALYA AZUNGUMZA NA WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA MSINGI VIZIWA - DODOMA WAKATI WA ZOEZI LA UTOAJI ELIMU YA LISHE

Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania Dkt. George Msalya akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Dodoma Viziwi (hawapo pichani) leo Novemba 2, 2022 wakati wa zoezi la utoaji wa Elimu ya Lishe katika shule hiyo kwa ushirikiano wa Bodi ya Maziwa Tanzania na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni.

Afisa Lishe wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Bi. Stella Kimambo (Kushoto) akiuliza maswali ya ufahamu kuhusu Lishe kwa Wanafunzi wa Shule ya Msingi Dodoma Viziwi (hawapo pichani) leo Novemba 2, 2022 wakati wa zoezi la utoaji wa Elimu ya Lishe katika shule hiyo kwa ushirikiano wa Bodi ya Maziwa Tanzania na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni, kulia ni Mtafsiri wa lugha ya alama Mwalimu Pascal Ngoda.

Afisa Lishe wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Bi. Stella Kimambo (kulia) akitoa mafunzo ya Lishe kwa Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Dodoma Viziwi leo Novemba 2, 2022 wakati wa zoezi la utoaji wa Elimu ya Lishe katika shule hiyo kwa ushirikiano wa Bodi ya Maziwa Tanzania na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa Mpango wa Unywaji Maziwa Shuleni.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni