Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2011

MAONYESHO YA MIFUGO KATIKA VIWANJA VYA NANENANE ZUGHUNI DODOMA 2011

Picha
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda (MB) akisalimia wananchi wakati wa Uzinduzi wa Maonyesho ya kwanza ya paredi ya mifugo. Paredi hiyo ilihusisha ng'ombe wa Maziwa na Nyama katika viwanja vya Nanenane Nzughuni Dodoma  tarehe 05/08/2011 Waziri Mkuu, akiteta jambo na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) wakati wa kuzindua na kuangalia maonyesho ya mifugo.  Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David akisoma Hotuba wakati wa Uzinduzi wa Maonyesho ya Mifugo katika viwanja vya Nanenane Nzughuni - Dodoma Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Benedict Ole Nangoro (MB) mwenye miwani na pembeni ni Naibu Katibu Mkuu Dkt Yohana Budeba wakifatilia jambo wakati wa maonyesho ya mifugo. Mhe. Waziri Mkuu akikaribishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Eng.  James Nsekela (kushoto kwa Waziri Mkuu) na kulia kwake ni Waziri wa Tawala za Mikoa n...