Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2011

SHEREHE ZA WIKI YA MAZIWA MKOA WA DAR-ES-SALAAM

Picha
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Benedict Ole Nangoro  alipohojiwa na vyombo mbalimbali vya Habari Siku ya Kilele cha Uhamasishaji Unywaji wa Maziwa Tarehe 31/05/2011 ndani ya Banda la Kampuni ya DESA ambao nao warishiriki katika kuonyesha bidhaa mbalimbali zitokanazo na Maziwa.  Moja ya Viongozi wa Mkoa wa Dar-es-salaam alipotembelea Banda la Kinamama wa Kikundi cha Nronga kutoka Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya Hai ambao nao wanazalisha bidhaa bora kabisa zitokanazo na maziwa. Watoto waliotembelea banda ya TAMPRODA na kuweza kula bidhaa iliyotokana na maziwa kama wanavyooonekana kwenye  picha, anayewahamasisha kula ni Mjumbe Mama Mellewas viwanja vya Biafra Kinondoni Dar-es-salaam.  Muonyeshaji wa shughuli zinnazofanywa na Bodi ya Maziwa Tanzania akimkabidhi Mhe Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,  moja ya vielelezo vya Bodi hiyo katika viwanja vya Biafra alipotembelea  mabanda ya bidhaa z...