Timu za soka na mchezo wa Kuvuta kamba kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi leo Agosti 11, 2025 zimeendelea na mazoezi ya kujiandaa na michuano ya SHIMIWI inayotarajiwa kufanyika Mkoani Mwanza mapema mwezi Septemba, 2025.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni