Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeshinda kwa kushika nafasi ya Kwanza katika tuzo za Maonesho ya Nane Nane Kitaifa kwa kundi la Wizara za Kisekta kwenye Maonesho ya Nane Nane ya Kitaifa yaliyofanyika katika Uwanja wa Nzuguni Dodoma Kuanzia Tarehe 1, hadi 8 Agosti, 2025.












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni