Nav bar

Jumatano, 6 Julai 2011

WAZIRI ATEMBELEA RANCHI YA KONGWA DODOMA

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David,  akihutubia wananchi na wafanyakazi wa Ranchi ya Kongwa wakati wa Uzinduzi wa Duka la Kisasa la kuuza nyama


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) akiangalia ghala la kuhifadhia malisho ya mifugo Ranchi ya Kongwa 
 
Waziri wa Mendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt David Mathayo David (MB) akiwa katika  picha ya pamoja na Uongozi wa Shirika la Ranchi za Taifa  (NARCO)