Nav bar

Ijumaa, 11 Machi 2016

MKUTANO WA TANZANIA SEED INDUSTRY DEVELOPMENT WORKSHOP TASTA ULIOFANYIKA ARUSHA TAREHE 11/03/2016

Picha ya pamoja Mhe Naibu Waziri pamoja na viongozi wa Wizara, wadau wafadhili na wauzaji wa pembejeo katika ufunguzi wa mkutano wa  Tanzania  Seed Industry Development Workshop organized by TASTA

Mhe Naibu Waziri akifungua mkutano wa Tanzania Seed Industry Development Workshop organized by TASTA

Mhe Naibu Waziri William Tate Ole Nasha  akiongea na Meneja Mkuu wa Nyanza Cooperative Union Bw. Richard Seni katika ufunguzi wa Mkutano wa TASTA

Wadau na wauzaji wa mbegu mbalimbali za mazao na pembe jeo

Mhe Naibu Waziri William Tate Ole Nasha akisalimiana na Bw. Richard Seni Meneja  Nyanza Cooperative Union


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni