Nav bar

Ijumaa, 11 Machi 2016

MHE NAIBU WAZIRI AKIKAGUA MASHINE ZA USINDIKAJI WA MBEGU MBALIMBALI ZA MAZAO KATIKA SHAMBA LA ASA NGARAMTONI ARUSHA TAREHE 10/03/2016


Mhe. Naibu Waziri William Tate Ole Nasha aki kagua mashine za Usindikaji wa mbegu mbalimbali za azao katika shamba la ASA  Ngaramtoni

Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi imenunua mashine kwa ajili ya Usindikaji wa mbegu mbalimbali za mazao ambazo zinategemea kuzinduliwa hivi karibuni


Meneja wa Shamba la AZA Ngaramtoni Bw. Z Mrinji akikmkaribisha Mhe. Naibu Waziri


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni