| Msemaji wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bi. Judith Mhina akifungua Mkutano huo uliofanyika Kisarawe tarehe 01/10/2015 |
| Mmoja kati ya madume ya Ngombe wa nyama aina ya Borani yanayofungwa katika Rushu Ranchi |
| Afisa habari kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi Fatma akijitambulisha kwa Wadau na Washiriki |
Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akielezea mafanikio na changamoto zilizopo katika Rushu Ranchi iliyopo Wilaya ya Kisarawe |
| Msajili wa Bodi ya Nyama Bi. Suzan Kiango akiongelea utunzaji wa nyama bora inapotoka machinjioni |
| Dkt. Herbert Lyimo Mkurugenzi wa Utafiti na Ugani akielezea tekinolojia mpya ya kielectroniki iliyoanza kutumika kusajili mifugo |
| Wadau na Washiriki wa Mkuatno huo wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Dkt. Hamisi Mkuli Idara ya Ukuzaji viumbe kwenye maji (hayupo pichani) |
| Afisa Mifugo kutoka Wilaya ya Kisarawe akielezea mafanikio ya Rushu Ranchi pamoja na ushrikiano mzuri walionao na Wanakijiji |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anusiata Njombe akijibu maswali yaliyoulizwa na Bw. Mapunda (hayupo pichani) |
| Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Rushu Ranchi Bw. Mabula Charles akionesha mmoja wa ngombe wa nyama |
| Mfugaji kutoka Wilaya ya Rufiji Bw. Gumbo Matubuki akijitambulisha kwa Wahiriki wa Mkutano huo |
| Baadhi ya Ngombe Dume aina ya Borani katika Ranchi Rushu |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji Mifugo na Masoko Bi. Anuciata Njombe akitembelea mifugo mbalimbali katika shamba la Rushu Rachi |
| Makundi mbalimbali ya mbuzi waliopo katika Rushu Ranchi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni