Nav bar

Ijumaa, 2 Oktoba 2015

SEMINA YA WAKAGUZI WA UVUVI KUTOKA KANDA YA ZIWA ILIOFANYIKA MKOANI BW. STEPHEN lUKANGA AKI SHINYANGA TAREHE 30/09/2015 - 04/10/2015

Mkurugenzi wa  Uvuvi katika Wizara ya Maendeleo ya  Mifugo na Uvuvi Bw. Hosea Mbilinyi akifungua Warsha ya Maafisa ukaguzi wa mazao ya Uvuvi wa kanda ya Ziwa mjini Shinyanga
Washiriki wa Semina wakisikiliza mada kuhusu ubora wa samaki kutoka kwa Bw. Stephen Lukanga (hayupo picha)
Msimamizi wa mradi wa Tsap Bw. Sephen Lukanga akifungua semina hiyo  iliyofanyika Mwanza
Bw.  Masolwa mwanasheria akitoa mrejesho wasemina iliyopita
Bw. Kenedy Kitunsa akitoa mada kuhusu sheria ya Uvuvi 
Wakili wa Serkali Bw. Robert Kidando akitoa mada kuhusu sheria ya Uvuvi
Secretariat ya Warsha wakiwa kazini
Mkurugenzi Msaidizi wa Uvuvi Bi Mwanaidi Mlolwa akitoa mada inayohusu warsha hiyo ilifonyika huko Shinyanga
Bw. Stephen Lukanga akitoa ufafanuzi kwa Washiriki wa Warsha hiyo
Picha ya pamoja ya Washiriki wa Warsha


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni