Nav bar

Alhamisi, 15 Oktoba 2015

UTAFITI WA UKUSANYAJI TAKWIMU ZA MIFUGO ILIYOFANYIKA KIJIJI CHA WAMI WILAYA YA MVOMERO

Wataalamu wakiangalia mbwa mlemavu wa mguu

Mbuzi mwenye mapacha wa tano (5) kijiji cha Wami Sokoine Wilaya ya Mvomero
Ndama mlemavu wa mguu
Ndama mlemavu akionekana kwa karibu
Mfugaji akionesha kuku wa kienyeji wa Utafiti wa namna bora ya upatikanaji wa takwimu za mazao ya mifugo
Ufuatiliaji wa takwimu za Uzalishaji maziwa katika zoezi la namna ya kuboresha upatikanaji wa takwimu hizo
Mtafiti kutoka UNE kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo akifuatilia takwimu
Watafiti wakifafanua mambo mbalimbali yanayohusu Utafiti wa Ukusanyaji wa takwimu za mifugo

Wafugaji wakifuatilia maelekezo ya namna ya utekelezaji wa zoezi la takwimu
Wafugaji wakiwa katika moja ya namna ya utoaji taarifa kwa kutumia majadiliano na michoro
Maandalizi ya ugawaji wa vifaa vya zoezi la kukusanya takwimu za mifugo

Watafiti wa UNE (University of New England) na Wizara ya Maendleo ya Mifugo na Uvuvi wakiwa katika hatua za awali katika zoezi la namna bora ya upatikanaji wa takwimu za mifugo katika kijiji cha Makuture Wilaya ya Mvomero


Watafiti na Wafugaji katika picha ya pamoja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni