Nav bar

Jumanne, 4 Agosti 2015

UFUNGUZI WA MAONESHO YA NANENAE 2015 YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI TAREHE 4/08/2015

Waziri Mkuu waJamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo  Pinda akitoa hotuba ya ufumgizi wa Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi


Wakina mama wa  Lindi  wakiburudika katika kiwanja cha Gongo Mkoani Lindi kwenye Maonesho ya Nanenane 2015



Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Mwantumu Mwahiza akitoa hotuba fupi kabla ya kumkaribisha  Mgeni rasmi Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda kwenye ufunguzi wa sherehe za Nanenane

Bi. Joyce Daffa Afisa Ndorobo Mkuu
 Idara ya Uchunguzi na Utafiti wa Mifugo Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akionesha chambo cha kunasia Mbung'o


Mtego wa Mbung'o aina ya Biconical





Bw. Jeremiah Temu Afisa Masoko Mkuu  pamoja na Bi. Digna Mallya Afisa Rasilimali watu na Utawala na Bw. Nicholai Chiweka Afisa Masoko na Utafiti  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakitoa maelezo kwa mdau alietembelea banda la Bodi ya Nyama Tanzania    



Dkt. Mchome Heriet kutoka LITA (Wakala wa Vyuo vya Mafunzo ya Mifugo Tanzania) Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akigawa vipeperushi kwa wadau Mbalimbali


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni