Nav bar

Jumatatu, 3 Agosti 2015

MAONESHO YA NANENANE 2015 YALIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI LINDI TAREHE 03/08/2015


Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba alipotembelea moja ya banda la Wakala wa Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA)

Bw. Edgar Shabani Afisa Utumishi Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu  Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akitoa maelezo kwa mdau kuhusu  Mkataba wa Huduma kwa Mteja
Bi.Grace Mwaigonile Mwanasaikologia Mwandamizi (Principle Sociologist) Idara ya Uzalishaji Mifugo na Uendelezaji wa Masoko akitoa huduma kwa Wadau kwenye Maonesho ya Nanenane Mkoani Lindi


Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakiwa katika  picha ya Pamoja


Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba apiga Picha na Mdau wa Mashahiri  Mpemba Asilia  pamoja na Watumishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi


Bi. Leokadia Mkira Kutoka Idara ya Sera na Mipango Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi akitoa maelezo kwa mdau kuhusu sera ya mifugo na Uvuvi

Wafanyakazi kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la  Heifer International Tanzania (Uholanzi) Wakisikiliza maoni ya Mdau 

Wakala wa vyuo vya Elimu na Mafunzo  ya Uvuvi Tanzania (FETA) wakionesha jinsi ya kufuga samaki kwenye tenki (Polythine tank)










Wakina Mama Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi wakiwa katika picha ya pamoja

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni