| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara |
| Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi Bw.Gaston Lugali akifafanua jambo linalohusiana na ujenzi wa bwawa la Kiteto katika kijiji cha OLPOPONG |
| Bwawa la Maji katika Kijiji cha Olpopong lililochimbwa na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
| Wafugaji wa Kiteto wakisikiliza kwa makini hotuba inayotolewa na Mhe. Waziri (hayupo pichani) |
| Pembezoni mwa bwawa la Maji |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bi. Anuciata Njombe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa bwawa (hayupo pichani) |
| Mhe. Waziri Dkt. Titus Kamani akisalimiana na wafugaji wa Wilaya ya Kiteto |
| Mandhari ya Wilaya ya Kilindi |
| Mhe Waziri Dkt. Titus Kamani akisalimiana na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kilindi |
| Waziri akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilindi |
| Mhe Waziri Dkt. Titus Kamani akimsikiliza Mbunge wa Kilindi Mhe. Bi Beatrice Shelukindo wakati akiongea na wananchi wa kijiji cha Wialayani Kilindi |
| Mitambo ya uchimbaji wa bwawa la Kwamaligwa likiwa kazini |
| Eneo ambayo bwawa la Kamwaligwa litajengwa |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni