Nav bar

Jumatano, 6 Mei 2015

MHE. WAZIRI DKT. TITUS KAMANI ATEMBELEA MNADA WA PUGU


Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akitembelea mnada wa pugu na wadau
Mhe. Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akiongea na wadau mbalimbali wa Pugu mnadaniBaadhi ya ng'ombe wakiwa maeneo ya mnada wa pugu tayari kwa kuuzwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni