![]() |
| Kikundi cha ngoma wakitumbuiza pamoja na Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani |
![]() |
| Waziri wa Maendeleo wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani akisaini katika kitabu cha wageni alipotembelea duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma |
![]() |
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Dkt Titus Kamani akizindua duka la nyama la NARCO kibaigwa mkoani Dodoma |
![]() |
| Meneja wa ranchi ya Kongwa Bw. Bizimungu wakibadilishana mawili matatu na Mhe. Dkt. Titus Kamani |
![]() |
| Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania akitoa hotuba fupi |
![]() |
| Dkt. John Mbogoma Meneja Mkuu wa kampuni za Ranchi Tanzania wakipeana mikono kumkaribisha Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt.Titus Kamani |
![]() |
| Ng'ombe wa nyama kutoka Ranchi ya Kongwa katika mamlaka ya mji mdogo kibaigwa |












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni