Nav bar

Jumamosi, 6 Septemba 2014

SIKU YA PILI YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO -MALAIKA HOTELI MWANZA

WAJUMBE WA  MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO  KUANZIA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA UKEREWE MHE. MARY TESHA KATIKATI MKUU WA WILAYA YA NGORONGORO
WATENDAJI WA WIZAR YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KULIA NI MKURUGENZI W HUDUMA ZA MIFUGO DKT ABDUL HAYGAIMOKATIKATI KAIMU MKURUGENZI MSAIDIZI WA AFYA YA WANYAMA DKT NIWAEL MALAMSHANA MWENYE MIWANI MTENDAJI MKUUWA MAABARA YA TAIFA YA MIFUGO DKT FURAHA MRAMBA
AFISA TAWALAWAMKOAWATABORA BIBI KUDRA MWINYING'OMBE AMAYE NI MMOJA YA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA MWANA MALAIKA HOTELI
MKURUGENZI WA UZALISHAJI NA MASOKO BIBI ANUSIATA NJOMBE AKIFATILIA JAMBO KWA MAKINI WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO.WA PILI NYUMANI MSHAURI MKUU WA ZAO LA NGOZI DKT JONAS MELLEWAS
KUSHOTO NI DKT MSAFIRI AMBAYE NI DAKTARI MKUU WA MIFUGO WA MKOA WA KAGERA NYUMA  MTENDAJI MKUU WA LITA BIBI MAGRETH PALLANJO KULIA KWAKE NI MWENYEKITI WA BODI YA LITA PROF SEMGURUKA


MWENYEKITI WA BODI YA BARAZA LA VETERINARI TANZANIA PROFESSA  KAZWALA
MEZA KUU WAKIATILIA UWASILISHWAJI WA MADA YA WIZARA YA ARDHI NA MAKAZI  KUTOKA KULIA NI  WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE, DKT TITUS MLENGEYA KMANI  KATIKATI NI NAIBU WAZIRI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA MHE AGGREY MWANRI NA NAIBU WAZIRI WA WIZAR YA KILIMO CHAKULA NA USHIRIKA MHE ERASTO ZAMBI

KAIMU MKURUGENZI MKUUI WA UPIMAJI WA ARDHI BW JOHN KAMI  AKITOA MADA KAMA INAVYOSOMEKA KATIKA KIASHIRIA NDANI YA PICHA UMUHIMU WA UPIMAJI WA MAENDEO YA UFUGAJI IKIWA I ZOEZI LA MATUMINZI BORA YA ARDHI

MUWASILISHAMADA BW JOHN KAMI AKIWA PEMBENI MWA MEZA KUU AKIWASILISHA MADA YAKE

SEKRETARIATI YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WA KWANZA KUSHOTO NI MSEMA CHOCHOTE  BW JOSEPH MLINZI NA BW JEREMIA TEMU TEMU

MAAFISA TAWALA WA MIKOA MALIMLI WAIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO KULIA NI BW FAZAL ISSA KILIMANJARO

MKUU WA MKOA WA RUKWA MHE ENG STELLA MANYANYA AKIWA NA WAKUU WA WILAYA YA NCHEMBA MHE FRANSIS ISACK NA MHE NOVATUS MAKUNGA WILAYA YA HAI

KUSHOTO MKUU WA MKOA WA  KATAVI MHE  DKT RAJABU RUTENGO  MKUU WA MKOA  WA KAGERA  MHE KANALI MSTAAFU  FABIAN MASSAWE
MJUNBE WA MKUTANO  AKIFATILIA KWA MAKINI MADA INAYOWASILISHWA NA MUWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA
MWENYEKITI WA MKUTANO WA WADAU A SEKTA YA MIFUGO AMBAYE NI WAZIRI W MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE, DKT TITUS KAMANI AKIFATILIA KWA MAKINI UWASILISHWAJI WA MADA KULIA NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NAUVUVI MHE KAIKA TELELE
MUWAKILISHI WA CHAMA CHA WAFUGAJI TANZANIA  BW  AKIWASILISHA MADA YA WAFUGAJI WA ASILI WA TANZANIA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni