Nav bar

Jumamosi, 6 Septemba 2014

HABARI MIFUGO NA UVUVI: HABARI MIFUGO NA UVUVI: MKUTANO WA WADAU WA SEKTA ...

MHE IGP ERNEST MANGU NI MIONGONI MWA WASIRIKI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA KATIKA HOTELI YA MALAIKA YA JIJILA MWANZA
MKUU WA WILAYA YA MAGU MHE JACLINI LIANA  AKIWA NAMKUU WA WILAYA YA WAKIELEKEA KWENYE UKUMBI WA  KIKAO CHA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO


Add caption


WAZIRI MKUU WA JAMURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA WA TANO KUSHOTO AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAKURUGENZI NA WATENAJI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KATIKA VIWANJAVYA HOTELI YA MALAIKA JIJI LA MWANZA
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAMILIKI WA HOTELI YA MALAIKA YA JIJI LA MWANA WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO ULIOFANYIKA HOTELINI HAPOKATIKATI WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA  NA KULIA NI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI


WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENGO PETER PINDA AKIANGALIA AINA YA MIMEA ILIYOPANDWA KATIKA BUSTANI YA MALAIKA HOTELI


WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE KAYANZA MIZENG PETER PINDA AKWA KATIKA VIWANJA VYA HOTELI YA MALAIKA AKIBADILISHANA MAWAZO NA MAWAZIRI WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni