Nav bar

Jumapili, 7 Septemba 2014

HABARI MIFUGO NA UVUVI: SIKU YA PILI YA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUG...

MKURUGENZI WA TPCF MFUKO WA JAMII YA WACHUNGAJI WA MIFUGO YA ASILI TANZANIA BW JOSEPH OLE PARSAMBEI AKIWASILISHA MADA WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO  MWANZA MALAIKA HOTELI

KATIBU TAWALA WA MKOA WA KWANZA KULIA WA MOROGORO AKIFATILIA MADA KATIAK MKUTANO WA WADAU WA MIFUGO MWANZA

MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO BIBI CATHERINE JOSEPH  AKIWAKILISHA MADA YA MIPANGO NA MIKAKATI MBALIMBALI YA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

KATIBU MKUU WA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA BW MUSSA ULEDI  MWENYE MIWANI
WAKUU WA MIKOA  KUTOKA KUSHOTO KATAVI, KAGERA NA RUKWA

KUANZIA KUSHOTO WAKUU WA WILAYA YA RUFIJI, KIBAHA  NGORONGORO 
KUANZIA KUSHOTO WAKUU WA WILAYA WA CHEMBA, HAI NA KIBAHA
MEZA KUU KATIKATI MWENYEKITI WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA WA MIFUGO AMBAYE NI WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE DKT TITUS MLENGEYA KAMANI KULIA NI NAIBU WAZIRI WA WIZARA HIYO, KUSHOTO KWA WAZIRI NI NAIBU WAZIRI WA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA  MITAA 
MEZA KUU WA KWANZA KULIA NI KATIBU MKUU WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII BIBI MAIMUNA TARISHI AMBAYE ALIMUWAKILISHA WAZIRI WA WIZARA YAKE   
KAMANDA MKUU WA POLISI TANZANIA IGP ERNEST MANGU AKIFATILIA MADA ILIYOKUWA INAWASILISHWA MTOA MADA HAYUPO PICHANI  
 
BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO WALIOSHIRIKI MKUTANO HUO MWANZA 

MAKATIBU TAWALA WA MIKOA WALIOHUDHURIA MKUTANO WA WADAU WA SEKTA YA MIFUGO  JIJI LA MWANZA

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni