Nav bar

Jumatano, 13 Agosti 2014

MATUKIO NANENANE 2014 KATIKA PTCHA


RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHE. DKT ALI MOHAMMED SHEIN AKISALIMIANA NA VIONGOZI WA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA NGONGO - LINDI WAKATI WA UZINDUZI WA MAONESHO YA NANENANE 2014


Add caption


Mwenyekiti wa TASO Bw Moyo akitoa hotuba Fupi kabla ya kumkaribisha Waziri mwenyedhamana na Moenesho ya Nanenane kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
  

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Ali Mohammed Shein alipotembelea banda la Kilimo Chakula na Ushirika katika viwanja vya Ngongo - Lindi 

Samaki waliokaushwa ambao waliuzwa na Wadau walioonyesha bidhaa zao kutoka Kanda ya Ziwa Mwanza  katika Maonesho ya Nanenane Lindi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni