Nav bar

Alhamisi, 14 Agosti 2014

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek amtembelea WMUV Dr. Titus Mlengeya Kamani (Mb) ofisini kwake kujadili maeneo yakusaidia shughuli za mifugo.

wakiwa katika mazungumzo hayo
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek amtembelea Waziri wa MUV ofisini kwake.Wakiwa katika mazungumzo juu ya maeneo hayo hususani katika sekta ya maziwa, kuku wa kisasa na kienyeji pamoja na mafunzo kwa wataalamu na wafugaji katika sekta ya mifugo.


Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr. Titus Mlengeya Kamani (Mb) akiwa na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek


Waziri na baadhi ya Viongozi wa Wizara wakiwa katika picha ya pamoja na akimuaga Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Waziri na daadhi ya viongozi wa Wizara wakimuaga Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Dk.Ad Koekkoek baada ya mazungumzo mafupi.Hakuna maoni:

Chapisha Maoni