Nav bar

Jumatano, 13 Agosti 2014

MIFUGO NI MALI - UZALISHAJI WA BIDHAA ZITOKANAZO NA MIFUGO


PEMBE ZA NG'OMBE AINA YA ANKOLE ZILIZOONGEZWA THAMANI 
Pembe hizi hupatikana zaidi maeneo ya Magharibi mwa Tanzania ambapo Ng'ombe aina ya Ankole wanafugwa, "Tembelea maeneo ya Machinjio na Minada" zinapatika
Picha zinazoonekana ni pembe za ng'ombe zilizoongezwa thamani kwa kutumika kama kishikia taa au kwa kingereza Lamp Holder  
Urembo ni kitu muhimu kwa Mwanamke Bangili na Hereni zitokanazo na pembe za Ng'ombe Wajasiriamali Mpo'''''''''''''''''''''''''''  Wasiliana na Blog hii utapata bidhaa zitokanazo na Mifugo kama hizi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni