MKURUGENZI WA IDARA YA UTAWALA NA RASILIMALI WATU
 |
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bibi Theresia Mugangha |
 |
Bibi Theresia Mughanga akiwa ofisini kwake katika shughuli za Utawala, aliye pembeni ni Khatibu Muhtasi wake Bibi Joyce Majule Peter
|
WAKURUGENZI WASAIDIZI IDARA YA UTAWALA NA MAAFISA UTUMISHI
 |
Mkugenzi Msaidizi wa Rasilimali Watu Bibi Veronika Nchango |
 |
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala Bibi Beatrice Patrick |
 |
Bw Andrew Ponda Afisa Utumishi akiwa katika shughuli zake za kiutumishi Ofisini kwake |
Afisa Utumishi Bi Neema Kwembe akiwa katika shughuli za kiutumishi. Aidha Bi Neema ni Afisa Malalamiko wa Wizara. |
Afisa Utumishi Bi Neema Baltazary akiwa katika shughuli za kiutumishi Ofisini kwake |
 |
Maafisa Utumishi kutoka kushoto Bi Asha Mgalla na Bi Susan Silayo, wakiwa katika shughuli za kiutumishi ofisini kwao |
 |
Afisa Utumishi Mkuu Bw Zuwani Makame akiwa Ofisini kwake katika shughuli zake za kiutumishi |
 |
Bibi Anjeal Ungele Afisa Utumishi akiwa katika shughuli zake za kiutumishi k |
 |
Afisa Utumishi Bw Mrisho akiwa Ofisini kwake katika kazi za utawala |

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni