Nav bar

Jumamosi, 1 Machi 2014

MUENDELEZO WA ZIIARA YA MHE WAZIRI TALIRI 19/02/2014


























Mhe Waziri akijibu maswali ya Waandishi wa Hbari alipotembelea Taasisi ya Utafiti ya Mifugo Tanznaia TALIRI



Mhe. Waziri akiongea na Watumishi wa TALIRI, pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya Mpwapwa a

Mhe. Waziri alisaini kitabu cha wageni


Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya  Mifugo Tanzania Dkt Komwihangilo akisoma Taarifa ya TALIRI  kwa Mhe Dkt Titus Kamani

Watumishi wa Taasisi wakijitambulisha kwa Waziri MMUV


WMMUV Mhe. Dkt Titus Kamani akiongea na watumishi hawapo kwenye picha.





Mhe Waziri akiangalia mbuzi aina ya Gogo weupe (Gogo white) ambao wamehifadhiwa kama mbegu na kufanyiwa utafiti wa uwezo wao wa uzalishaji wa nyama, maziwa, ukubwa wa umbo na uwezo wa kuzaana 

je mbuzi hawa wana faida ganikw awafugaji wetu ? Dkt Komwihangilo atajibu 

Wauuh''''''''''''''''''''''''''''''GOGO WHITE

Gogo White wamechanganyika na Mbuzi wa Brown wa Kigoma wenye msitari mweusi katikati ya mgongo sehemu ya nyuma masikio na usoni







Mhe. Waziri akiongea na Mtafiti akiwa kwenye eneo la maabara na madawa ya mifugo


Aliye mkono wa kushoto kwa Waziri ni Afisa Tawala wa Wilaya ya Mpwapwa Bibi 


Mhe. Waziri akikagua jengo la Makao Makuu ya TALIRI upande wa Utawala 























Hakuna maoni:

Chapisha Maoni