Nav bar

Alhamisi, 6 Machi 2014

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AZINDUA BODI MPYA YA NARCO


 MKURUGENZI MKUU WA NARCO  DKT JOHN MBOGOMA AKITAMBULISHA HAFLA ILIYOHUDHURIA UZINDUZI WA BODI YA NARCO KULIA NI NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT YOHANA BUDEBA
MWENYEKITI WA BODI BW SALUM SHAMTE WA KWANZA KULIA AKITETA JAMBO NA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI WAKATI WA UZINDUZI WA BODI YA NARCO ANAYEONGEA NI MKURUGENZI MKUU WA NARCO DKT JOHN MBOGOMA
                    
BAADHI YA WAKUU WA IDARA NA VITENGO WALIOHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA BODI YA NARCO
WADAU WA SEKTA YA MIFUGO NA WAKUU WA IDARA NA VITENGO WAKIFATILIA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA BODI YA NARCO


MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO BIBI CATHERINE JOSEPH AKITOA MAELEZO WAKATI WA UZINDUZI WA BODI YA NARCO
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT TITUS KAMANI AKIMPONGEZA MJUMBE WA BODI HIYO BW ARON LUZIGA
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI AKISALIMIANA NA MJUMBE WA BODI KUTOKA CHATO BIBI
Add caption

    
BODI YA NARCO CHINI YA MWENYEKITI WAKE BW SALUM SHAMTE KATIKATI NA PEMBENI YAKE MAKAMU WA MWENYEKITI WAKIENDESHA KIKAO MARA BAADA YA UZINDUZI WA BODI
MAJADILIANO YAKIENDELEA KWENYE VIKUNDI MARA BAADA YA UZINDUZI WA BODI
SECRETARIAT YA WIZARA WAKATI WA UZINDUZI WA BODI YA NARCO

Maoni 1 :

  1. PICHA HAZINA MAELEZO. WAJUMBE WA BODI MBONA WENGI KAMA MKUTANO WA KIJIJI. HAO BODI MEMBERS MAJINA YAO NA SIFA ZAO YAKO WAPI

    JibuFuta