Nav bar

Alhamisi, 6 Machi 2014

MAABARA YA UZALISHAJI CHANJO YA KIBAHA ZIARA YA WAZIRI

            
WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE.DKT TITUS KAMANI ATEMBELEA UKARABATI WA  MAABARA YA CHANJO KIBAHA.

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WAKIFATILIA JAMBO WAKATI WA ZIARA HIYO MWANYE MIWANI NI KAIMU MTENDAJI MKUU WA TVLA

KAIMU MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MAABARA YA MIFUGO YA TAIFA DKT FURAHA MRAMBA AKIEAFANUA  JAMBO KWA WAANDISHI WA HABARI WAKATI WA ZIARA YA WAZIRI MUV KUKAGUA UKARABATI WA MAABARA HIYO
MAYAI YANAYOTUMIKA KATIKA UTENGENEZAJI WA CHANJO HUCHAGULIWA KWA MAKINI NA MADAKTARI WA MAABARA ILI KUPOATA NCHANJO SAHIHI


WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI  MHE.DKT TITUS KAMANI KATIKATI MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA MAABARA YA MIFUGO YA TAIFA TEMEKE AKIMKARIBISHA RASMI KATIKA KITUO HICHO ,WALIOKETI MEZA KUU NI VIONGOZI WALIOFATANA NA WAZIRI


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni