Nav bar

Ijumaa, 2 Januari 2026

MHE. BALOZI DKT. BASHIRU ALLY ATEMBELEA VIWANDA VYA KUSINDIKA SAMAKI

 ðŸ‘‡ðŸ‘‡ðŸ‘‡Akiwa jijini Mwanza Desemba 24,2025, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa ametembelea na kukagua viwanda vya kusindika samaki na mazao yake vya Honlin na Natures Fish ambapo ameonesha kuridhishwa na utendaji wa viwanda hivyo huku akiahidi kuendelea na jitihada za kuhakikisha vinapata malighafi za kutosha.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni