MHE. DKT. KIJAJI AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BANDARI YA UVUVI KILWA MASOKO
Na. Omary Mtamike
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametembelea na kukagua hatua mbalimbali za ujenzi wa Bandari ya Uvuvi unaoendelea Kilwa Masoko mkoani Lindi Agosti 21,2025 kama inavyoonekana pichani chiniπππ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni