Picha Mbalimbali : Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji alipotembelea na Kukagua Mabanda ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, pamoja na yale ya Wadau wa Sekta za mifugo na Uvuvi ikiwa ni Maandalizi kuelekea kilele cha Maonesho ya Kimataifa ya Nane Nane 2025 Kitaifa.
Ukaguzi huo ameufanya leo Agosti 7, 2025 Nzuguni Jijini Dodoma kwenye Viwanja vya Nane Nane.







Hakuna maoni:
Chapisha Maoni