Nav bar

Alhamisi, 18 Februari 2021

WAZIRI NDAKI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UMOJA WA MATAIFA KWENYE PROGRAMU YA CHAKULA DUNIANI UN WFP

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (kushoto) akijadili jambo na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kwenye programu ya Chakula Duniani UN WFP, Bi. Sarah Gordon - Gibson mara baada ya kuwasili na kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano ofisini kwake mtumba jijini Dodoma. (16.02.2021)

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (wa nne kutoka kulia) akiongea na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kwenye Programu ya Chakula Duniani UN WFP, Bi. Sarah Gordon - Gibson (wa tatu kutoka kulia) pamoja na maafisa wengine alioambatana nao wakati walipomtembelea ofisini kwake Mtumba jijini Dodoma lengo likiwa ni kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano. (16.02.2021)

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki (wa pili kutoka kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na mwakilishi wa Umoja wa Mataifa kwenye programu ya Chakula Duniani UN WFP Bi. Sarah Gordon - Gibson (wa pili kutoka kulia) na Maafisa wengine walioambatana nae mara baada ya kujitambulisha na kuangalia maeneo ya mashirikiano leo kwenye Ofisi za Wizara hiyo, mtumba jijini Dodoma. (16.02.2021) 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni