Nav bar

Jumatatu, 30 Mei 2016

WARSHA YA KUHAMASISHA WATENDAJI NA WATAALAMU ZA AFYA YA MIFUGO KATIKA KUSIMAMIA SERA NA SHRIA MBALIMBALI ZA MIFUGO ILIYOFANYIKA MKOA WA MOROGORO TAREHE 25- 26/05/2016.


Katibu  Mkuu Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi (M) Dkt. Mary Mashingo akifungua warsha ya Mafunzo ya watendaji wa Sera na Sheria mbalimbali za mifugo hawapo pichani katika hoteli ya Edima mjini Morogoro

Mkurugenzi wa Huduma za afya ya Mifugo Dkt. Abdi Hyghaimo akitoa maelezo ya awali kwa mgeni rasmi 

Mjumbe wa mkutano huo Dkt. Thomas Kahema kutoka Tanzania Animal Welfate Society (TAWESO) akitoa mada inayohusu ustawi wa wanyama

Msajili wa Baraza la madaktari wa mifugo Tanzania Dkt. Bedan Masuruli akiwasilisha mada kuhusu sheria za veterinari
 

Picha ya pamoja ya wajumbe na Katibu Mkuu Kilimo, Mifugo na Uvuvi (M) Dkt. Mary Mashingo katika Warsha ya siku mbili (2)  ya kuhamasisha Utendaji wa taalamu za afya ya Mifugo

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni