| Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt Mary Mashingo akiongea na waandishi wa habari kuhusu uingizwaji holela wa vifaranga bila kufuata taratibu . |
| Mkurugenzi wa Idara ya huduma ya afya za mifugo Dkt.Abdi Hyghaimo akielezea jinsi nyaraka feki zilivyotumika katika kuingiza vifaranga |
| Baadhi ya makasha yaliyokamatwa Airport yakiingia nchini kinyume na sheria |
| Baadhi ya maafisa wakichukua maelezo kuhusu vifaranga vilivyokamatwa airport kutokea Malawi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni