Nav bar

Jumapili, 7 Februari 2016

MPANGO BUNIFU WA MODENIZESHENI YA SEKTA YA MIFUGO TANZANIA WATAMBULISHWA KWA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KANDA YA KATI (DODOMA NA MASHARIKI (MOROGORO)

Mkutano wa kwanza wa kukusanya maoni ya Wadau wa Sekta ya Mifugo wakati wa kutambulisha Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo Tanzania katika Kanda ya Kati Dodoma (Tanzania Livestock Sector Modenization Initiative)

Baadhi ya Wadau wa Sekta ya Mifugo wakichangia Maoni yao ili kuuboresha Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo Wadau wametoka Kanda ya Kati Mkoa wa Singida(Wilaya ya Iramba, Manyoni na Singida Vijijini)  na Dodoma (Wilaya Bahi, Dodoma Vijijini, Chamwino, Mpwapwa Kondoa Chemba na Kongwa


 


Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Dkt Maria Mashingo akiwa katika picha ya pamoja na Wadau wa Sekta ya Mifugo wa Kanda ya Kati pamoja na Mshauri elekezi wa Mpango huo Dkt Kauwash
PICHA ZA CHINI MKUTANO WA PILI WA WADAU WA KANDA YA MASHARIKI WA MIKOA YA PWANI, TANGA NA MOROGORO 
 
Wadau wa Kanda ya Masharikiwakitambuliswa Mpango Bunifu wa Sekta ya Mifugo na kutoa maoni yatakayoingizwa kwenye Mpango husika kwa ajili ya wao Wadau kushiriki kikamilifu katika kazi zao za kisekta walizonazo
Wadau wa Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya Pamja na Kaimu Katibu Mkuu Bibi Anuciata Njombe na Mshauri Mwelekezi Dkt Kauwash

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni