Nav bar

Jumatano, 6 Januari 2016

ZIARA YA MHE. NAIBU WAZIRI KATIKA WILAYA YA RUFIJI TAREHE 05/01/2015


Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Wafugaji na Wakulima wa Wilaya ya Rufiji tarehe 05/01/2016

Afisa Mifugo Bw. Salimu Shabani Msangi akisoma taarifa fupi kwa Mhe. Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha kuhusu sekta ya mifugo katika Wilaya ya Rufiji 

Wanakijiji wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha  hayupo pichani


Mwenyekiti wa kijiji cha kwiriri Bw. Singa athumani  akiomba maeneo yatengwe kwa ajili ya wafugaji na wakulima

Bw. Yahya mwankijijj kutoka kijiji cha Ikwiriri alisema sababu ya mifugo kuhama ni kutokana na tabia nchi

Mjumbe wa serikali za mitaa  Bi. Rukia aomba pembejeo za Kilimo zije kwa wakati 

Naibu Waziri  Mhe.William Tate Ole Nasha alisistiza  watendaji wahakikishe mifugo iliyopo inalingana na maeneo  yaliyotengwa kwa kufuata taratibu zilizowekwa

 Wanakijii wa kijiji cha Muhoro wakieleza kero zao kwa Naibu Waziri Mhe.William Tate Ole Nasha 


Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo Uvuvi Mhe.William Tate Ole Nasha akiwaeleza wanakijiji kuwa watahakikisha kutenga maeneo mbalimbali kwa wafugaji ambao hawana maeneo

Wanakijiji wa Kilimani wakieleza uharibifu wa mazao yao kutokana na mifugo inayoingia 


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni