Jumatatu, 27 Julai 2015
Jumatatu, 20 Julai 2015
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MRADI WA LIVESTOCK MODERNIZATION INITIATIVE
![]() |
Baadhi ya Washiriki wa Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo (Livestock Modenization initiative) Wakimsikilisha Muongoza Mada akitoa utangulizi wa Mpango huo.(hayupo pichani) |
![]() |
Baadhi ya Washiriki wa Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo (Livestock Modenization initiative) Wakimsikilisha Muongoza Mada akitoa utangulizi wa Mpango huo.(hayupo pichani) |
![]() | |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Akisaini Kitabu cha Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wadau wa Sekta ya Mifugo nje ya Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro |
![]() |
Baadhi ya Washiriki wa Mpango Kabambe wa Jitihada za Kuboresha Sekta ya Mifugo (Livestock Modenization initiative) Wakimsikilisha Muongoza Mada akitoa utangulizi wa Mpango huo.(hayupo pichani) |
Alhamisi, 9 Julai 2015
KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. YOHANA BUDEBA AFANYA MKUTANO NA WATUMISHI WA FETA (WAKALA WA MAFUNZO YA ELIMU YA UVUVI ILIYOFANYIKA MBEGANI - BAGAMOYO
| Moja kati ya bwawa la vifaranga vya samaki wa aina mbalimbali katika eneo la Mbegani Bagamoyo |
| Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo Idara ya Viumbe kwenye maji akimuelezea Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba uzalishwaji wa vifaranga vya samaki hao |
| Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba na Bi. Tabu Chando Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wakiwa na baadhi ya watumishi wakiangalia bwawa kubwa la samaki |
| Mmoja wa wafanyakazi Idara ya Viumbe kwenye maji Bw. Abdul Kahaija akionyesha jinsi ya ulishwaji wa samaki hao |
| Maboti ya kuvulia samaki yakiwa yametia nanga |
| Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu Bi. Tabu chando akiwaeleza wafanyakazi taratibu Sheria na kanuni za kiutumishi Serikalini |
| Bw. Godifrey Christopher kutoka Idara ya Ubaharia na Uvuvi (FETA) akitaka kujua sera ya kuajiri kwa Watumishi |
| Bw. Walilo Yasin Teknolojia wa Samaki (FETA) akiuliza kuhusiana na maslahi ya Mtumishi akiumia kazini |
| Bi. Emakulata Ndalawa kutoka Idara ya Ubaharia na Uvuvi akimshauri Katibu Mkuu Dkt. Yohana Budeba "Mkiuza Meli Mnunue Meli" |
| Moja kati ya boti kubwa linalotengenezwa kwa ajili ya kuvulia samaki Bahari kuu (Deep Sea) |
| Mazingira mazuri ya Mbegani Bagamoyo |
| Bw. Mashaka Shabani Afisa Kilimo II Kutoka Idara ya Viumbe kwenye Maji atoa wazo juu ya Ununuzi wa Mashine ya kuzalishia chakula cha samaki |
| Bw. Tukaye Mngonji akiuliza kuhusu utaratibu wa uchangiaji wa bima ya afya serikalini |
| Bw. Juma Mkumba akitaka ufafanuzi juu ya Watumishi wa Umma kukaa sehemu moja kwa muda mrefu katika vituo vyao vya kazi |
| Bw. Emmanuel Mboge Mhasibu wa FETA akiuliza swala la kupandishwa cheo |
Ijumaa, 3 Julai 2015
ZIARA YA WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI DKT. TITUS KAMANI ILIYOFANYIKA WILAYANI KITETO MKOA WA MANYARA NA KILINDI - TANGA KWA MADHUMUNI YA KUKAGUA UJENZI WA MABWAWA YA MAJI
| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Titus Kamani akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara |
| Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi Bw.Gaston Lugali akifafanua jambo linalohusiana na ujenzi wa bwawa la Kiteto katika kijiji cha OLPOPONG |
| Bwawa la Maji katika Kijiji cha Olpopong lililochimbwa na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi |
| Wafugaji wa Kiteto wakisikiliza kwa makini hotuba inayotolewa na Mhe. Waziri (hayupo pichani) |
| Pembezoni mwa bwawa la Maji |
| Mkurugenzi wa Uzalishaji na Masoko Bi. Anuciata Njombe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa bwawa (hayupo pichani) |
| Mhe. Waziri Dkt. Titus Kamani akisalimiana na wafugaji wa Wilaya ya Kiteto |
| Mandhari ya Wilaya ya Kilindi |
| Mhe Waziri Dkt. Titus Kamani akisalimiana na kamati ya Ulinzi na Usalama Wilayani Kilindi |
| Waziri akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilindi |
| Mhe Waziri Dkt. Titus Kamani akimsikiliza Mbunge wa Kilindi Mhe. Bi Beatrice Shelukindo wakati akiongea na wananchi wa kijiji cha Wialayani Kilindi |
| Mitambo ya uchimbaji wa bwawa la Kwamaligwa likiwa kazini |
| Eneo ambayo bwawa la Kamwaligwa litajengwa |
Jisajili kwenye:
Maoni (Atom)













