Nav bar

Ijumaa, 26 Juni 2015

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE ALIPOTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisaini kitabu cha Wageni katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015


Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipewa maelezo kutoka kwa Bi Leila wa TVLA  katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia kofia iliyotokana na ngozi kutoka kwa mmoja wa mdau wa kiwanda cha ngozi katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue atembelea banda la LITA wakala wa Mafunzo ya Mifugo katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipokea zawadi ya dagaa waliokuwa wanauzwa katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipotembelea banda la mbuzi katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015
Picha ya Pamoja katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Dkt. Yohana Budeba katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara hiyo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia kwa makini samaki wanaofugwa katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na waandishi wa habari  katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma Tarehe 22/06/2015

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni