Nav bar

Jumanne, 17 Machi 2015

MKUTANO WA MAFUNZO KWA WAKAGUZI WA MAENEO YA MALISHO NA RASILIMALI ZA VYAKULA VYA MIFUGO ULIOFANYIKA MOROGORO EDEMA HOTEL MACHI 10-11, 2015

Mkurugenzi wa Uzalishaji na  Masoko Bibi Anunciata Njombe akimkaribisha mgeni rasmi ili kufungua Mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Dr. Mohamed Bahari ambaye ni mgeni rasmi akisoma hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa wakaguzi wa maeneo ya malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo.

Afisa Mkuu Wakala wa Maabara ya Mifugo Tanzania Bibi Wende Maulaga akitoa mada juu ya utayarishaji bora wa  vyakula vya mifugo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakisikiliza kwa makini mtoa mada (hayupo pichani)

Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Ugani kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Dr. Mohamed Bahari akikabidhi vyeti na vitendea kazi kwa wakaguzi wa vyakula vya mifugo na maeneo ya malisho.

Baadhi ya viongozi wa Wizara na Wakaguzi wa maeneo ya malisho na rasilimali za vyakula vya mifugo walioshiriki mafunzo ya awali katika Hotel ya Edema Mkoani MorogoroHakuna maoni:

Chapisha Maoni