Nav bar

Alhamisi, 19 Machi 2015

MAFUNZO KWA WATUMISHI NA WADAU WA MNADA WA PUGU YALIOENDESHWA NA OFISI YA RAIS MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA AMBAYO YALIFUNGULIWA NA MKURUGENZI WA UTUMISHI NA RASILIMALI WATU WA WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI BIBI TABU CHANDO.

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Judith Mhina akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba kwaajili ya ufunguzi wa Mafunzo ya "Dawati la Malalamiko"

Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dkt. Yohana Budeba akifungua Mafunzo ya "Dawati la Malalamiko" yaliyofanyika tarehe 25 Machi


Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma na Watumishi kutoka uwanja wa Ndege na Bandarini katika picha ya pamoja kabla ya kuanza Mafunzo.
Mtoa mada Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma Bi.Margareth M. Ngondya katika (Idara ya Malalamiko)
Mtumishi kutoka Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji (AQ) Bw. Japhet Mwampuro akitoa maoni kuhusu "Dawati la Malalamiko"


Watumishi kutoka Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye Maji (AQ) Bw. Japhet Mwampuro, na (kulia) Bw Anthony Dadu wakisikiliza kwa makini mada inayotolewa na Bi. Margareth Ngondya (hayupo pichani)
Bw. Jusseim Mwakipesile kutoka Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma akitoa maelezo kuhusu Umuhimu wa kuwa na "Dawati la Malalamiko" katika Utumishi wa Umma.

Idara ya huduma za Afya na Mifugo, Mazao yanayoingia na kutoka uwanja wa ndege na Bandari Dkt. Samira Mora (kulia) ni Basila Sakia wakisikiliza mafunzo kutoka kwa mtoa mada (hayupo pichani)


Afisa Habari Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Mwanahamisi Msangi na (kulia) ni Bw. Sadic Senge Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Kiteng cha Udhibiti Ubora wa Mazao ya Uvuvi
Watuishi wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Idara ya Maendeleo ya Uvuvi Kitengo cha Udhibiti wa Mazao ya Uvuvi na Idara ya Ukuzaji Viumbe kwenye MajiWakipeana Mikono ya Shukurani pamoja na Idara ya huduma za Afya na Mifugo.
Mkurugenzi wa Utumishi na Rasilimali Watu wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi.Tabu Chando  akifungua Mafunzo ya siku moja ya "Dawati la Malalamiko" yaliyofanyika tarehe 18 Machi  2015
   Msimamizi wa Mnada kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bw. Nalaila akiwakaribisha Watumishi na Wadau wa mnada wa Pugu

Baadhi ya Washiriki Wakisikiliza kwa Makini Mafunzo kutoka kwa mtoa Mada (hayupo pichani)
Mwenyekiti wa Mnada wa Pugu Bw. Said Khamis akitoa mapungufu  yaliyokuwepo katika mnada 
 


Mkurugenzi Wa Utumishi na Rasilimali Watu Wa Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Bibi.Tabu Chando katikati akiwa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bibi. Judith Mhina (kushoto) Wakijadiliana pamoja na Bibi Magreth Wilson (kulia) kutoka  Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma
Mtoa Mada Bibi. Magreth Wilson Kutoka Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi wa Umma katika  (Idara ya Malalamiko)


Mmoja Wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo Mnadani Pugu akielezea kuhusu ulinzi kwenye Mnada wa Pugu
 
Mfanyabiashara wa Mnada wa Pugu Bw. James chacha akielezea Utendaji katika Vituo vya Mifugo vya Dodoma na Singida
Mkuu wa Mnada wa Pugu upande wa Wadau Bw.Joseph Bugali akitoa Maelezo yasintofahamu katika Mnada wa Pugu

Mwenyekiti wa Chama Cha Ufungaji Tanzania Bibi. Naomi Kamunyo akisema kuwa Wanapotoa Hoja zao Hawapati Mrejesho


Sehemu ya mnada wa Pugu


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni